1 Chronicles 14:10
10
Hivyo Daudi akamuuliza Mungu: “Je, niende kuwashambulia hao Wafilisti? Je, utawatia mikononi mwangu?”
Bwana
akamjibu, “Nenda, nitawatia mikononi mwako.”
Copyright information for
SwhNEN